☰
Home
(current)
Login
Register
Biolife Herbs || Dar-es-salaam
Dar es salaam Goba njia nne Nyuma ya AFRO OIL utaona ofis zimeandikwa BIOLIFE
PRODUCT
VERNONIA CAPSULES
Category:
Uncategorized
TIBU CHANZO CHA KISUKARI KWA DAWA ZA ASILI🥗🍇🫐
Chanzo kikubwa Cha kisukari ni kongosho ( Pancrease) kushindwa kurekebisha kiwango Cha sukari kwenye mwili. Kuna baadhi ya mitishamba au mimea imeaminika kutibu chanzo Cha sukari kwa asilimia kubwa, mmea namba moja wenye ubora unajulikana kwa jina la ki Latin Kama _Vernonia Amgidallina_ au Bitter leaves, huu mmea umekuwa ukitoa ufanisikubwa katika kutibu sukari na kutibu madhara yatokanayo na sukari.
🔰Ina rekebisha beta cells za kongosho ili kongosho liweze fanya kazi yake vizuri ya kurekebisha kiwango Cha sukari.
🔰Inarekebisha kiwango cha sukari kwenye damu moja kwa moja.
🔰Inaondoa usugu wa insulin
🔰Ina ondoa madhara yatokanayo na sukari Kama kiu kikali, uchofu, kukojoa Mara kwa Mara. Tuna dawa hii kwa mfumo wa vidonge ijulikanayo kwa jina la Vernonia Capsules ,
💚Dozi ni kopo mbili, Kopo Moja inapatikana kwa elfu 30.
📌Dar es salaam Goba njia nne 0673402024 na 0688820050
📌Arusha Kaloleni mnara mwenge 0766607688.
📌Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530
Read more
Price:
TZS 30,000
Quantity:
-
+
Total:
TZS 30,000
Order Now
Others say about this product
Your Comment
Send
Comment Section
account
account 1 year ago
Perfect
reply
Your Comment
Send
Perfect