☰
Home
(current)
Login
Register
PRODUCT
LIVER DETOX CAPSULES
Category:
Uncategorized
LIVER DETOX
Dawa ya mitishamba maalum kwa ajili ya kutoa sumu kwenye Ini na mwilini.
Ini ndio kiungo kikubwa mwilini na chenye kazi zaidi ya mia Moja mwilini.
Ila kazi kubwa ya Ini ni kuchuja na kupunguza sumu mwilini kabla hata ya kuenea sehemu zingine kama kwenye Figo.
🌞Liver detox pia Inatibu magonjwa ya Ini kama homa za Ini ( hepatitis).
🌞Ina rekebisha utendaji kazi wa nyongo na kutoa mawe ( gall stones).
🌞Ina rekebisha seli za kongosho na kurekebisha kiwango Cha sukari.
🌞Ina tibu malaria sugu.
TZS 45,000/= Kwa kopo Moja ya vidonge 60, Dozi ni kopo tatu.
Viungo vya mimea vilivyomo: Milk thistle, Dandelion root extract.
Wasiliana nasi kwa namba
💚Dar es salaam Goba njia nne 0673402024 na 0688820050
💚Arusha Kaloleni mnara wa mwenge, 0766607688
💚Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530
Read more
Price:
TZS 45,000
Quantity:
-
+
Total:
TZS 45,000
Order Now
Others say about this product
Your Comment
Send
Comment Section
No Comments yet!
Add Comment