☰
Home
(current)
Login
Register
PRODUCT
FISH OIL CAPSULES ( OMEGA-3)
Category:
Uncategorized
MAFUTA YA SAMAKI ( OMEGA - 3).
Mafuta ya samaki ni product nzuri sana inafaa kwa watoto watu wazima pamoja na wazee
Mafuta ya samaki yanasaidia vitu vifuatavyo kwenye mwili
✨Husaidia kuondoa pressure ya kupanda na kushuka
✨Huondoa cholesterol kwenye mishipa ya damu
✨Husaidia kukukinga na magonjwa ya moyo
✨Husaidia kuongeza kinga ya mwili na kulisha cell kwa kiwango cha juu
✨Husaidia ukuaji wa ubongo na kutunza kumbukumbu
✨Kwa wamama wajawazito husaidia mtoto kuzaliwa akiwa na afya njema
✨Kuongeza uwezo wa kuona
✨Kupunguza kasi ya uzee
✨Huimarisha afya ya ngozi
✨Husaidia kuimarisha viungo yaan mifupa
✨Husaidia kuondoa allergy kwa watoto
✨Husaidia kuondoa constipation
✨Husaidia kurudisha ute ute kwenye maungio
Kopo moja lina supplement 100
Jinsi ya kutumia
✅Unatakiwa kutumia vidonge viwili kwa siku, kimoja asubuhi na kimoja jioni.
Read more
Price:
TZS 35,000
Quantity:
-
+
Total:
TZS 35,000
Order Now
Others say about this product
Your Comment
Send
Comment Section
No Comments yet!
Add Comment