☰
Home
(current)
Login
Register
PRODUCT
CORDCEPS CAPSULES
Category:
Uncategorized
CORDYCEPS CAPSULES
Hii ni dawa ya asili inayopatikana kwa mimea inayop atikana nchini china pekee.
Majani haya hujulikana kama MAJANI YA MAAJABU KUTOKA MBINGUNI.
(Magic glas from heaven)
Ustawishaji wa majani haya ya cordceps sinensis hushangaza wengi maana hata upatikanaji wake ni shida kwani gharama ya majani haya ni sawa na thahabu kwa jinsi yalivyo adimu.
Hivyo bei ya majani haya ni kubwa sana kutokana na uadimu wake kupatikana porini.
KAZI YA CORDCEPS
1. Inarudisha afya ya mfumo wa hewa.
Hiii ni kwamba, inaondoa alergy yoyote inayopelekea kubanwa kifua kama watu wenye asthma na wenye mafua na vikohozi sugu.
Inapanua njia za mapafu na kukufanya upumue bila kutumia nguvh nyingi kwa watu wenye matatizo ya kifua kubana.
2. Inaboresha,inarudisha na kuongeza kinga ya mwili.
Inafaa kwa watu wote maana inauwezo mkubwa wa kufanya mwili uzalishe andibodies (kemikali za mfumo wa kinga mwilini) hizi huenda kupambana na kuwa mlinzi wa mwili wako usishbuliwe na magonjwa ovyo. Pia inaongeza wingi wa seli za mfumo wa kinga, Natural killer cells na mwili wako siku zote unakuwa wenye afya.
3. Inarudisha afya na kutibu ini na figo ambalo limeathiriwa kwa sumu mbali mbali na dawa mbali mbali za kemikali ambazo hufanyiwa kazi kwenye ini, paracentamol, dawa za hiv, dawa za fangus, dawa za TB nk
4. Inaongeza uwezo wa mwili kuzalisha nishati ya mwili kwenye mitochondia za seli. Hufanya mwili wako kuwa wenye nguvu muda wote, na kuondoa uchuvu usio na sababu. Pia inapunguza matumizi mengi ya oxygen kwenye moyo, hivyo moyo wako utafanya kazi katika mapigo sahihi.
Dawa hii inapatikana katika mfumo wa kisasa wa vidonge.
Dose moja inavidonge 60.
Karibuni Biolife ujipatie dawa hii yenye maajabu yake.
NOTE: Dawa hii ikumbukwe ni mimiea asili haina kemikali, mtu yeyote anastahili kutumia ili kujikinga,kutibu na kuboresha mwili wake.
Read more
Price:
TZS 40,000
Quantity:
-
+
Total:
TZS 40,000
Order Now
Others say about this product
Your Comment
Send
Comment Section
No Comments yet!
Add Comment